Social Channels :

  • facebook-32px
  • rss-32px

Events & Updates

Tuesday, 27 June 2017 20:09

Sikukuu Ya Watoto

DCT Childrens Day Swahili

Tutakuwa na Sikukuu ya watoto jumapili hii, 02/07/2017 hapa Dar Calvary Temple, Tabata Shule, ambapo huduma ya watoto ndio watakao tuongozea ibada zetu zote.

Tuna wakaribisha watu wote kushirikiana nasi katika kuwapongeza na kuwatia moyo watoto wetu.

Ibada ya kwanza itaanza saa moja kamili asubuhi mpaka saa tatu na nusu ikifuatiwa na madarasa ya jumapili, saa nne kamili ibada ya pili itaanza mpaka saa sita na nusu mchana.

Panga kuwepo ubarikiwe pamoja na watoto wetu. Karibu

You are here: Home Events & Updates Sikukuu Ya Watoto